Ilichokiandika TFF baada ya Mwakyembe kupewa dhamana ya Michezo

Baada ya taarifa ya IKULU leo March 23, 2017 kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dr. Harrison George Mwakyembe amechukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Shirikisho la Soka Tanzania TFF limempongeza Mwakyembe.

Source: Millard ayo