Ibra Da Hustla Makazi Mapya Nairobi Kenya

Ibra Da Hustla Toka Kundi la Nako 2 Nako amethibitisha kuwepo jijini Nairobi nchini kenya kwa shughuli za Kimuziki zaidi baada ya ukimya uliotanda kwenye Kundi la Nako 2 Nako licha ya kuwapa mashabiki EP kwa jina la Mtaa Unachotaka. EP hio ilipokelewa vizuri kwa utambulisho wa video ya “HardCore”

Mwanzoni mwa mwaka 2018 kundi hilo liliamua kurudi upya na kukutanisha vichwa vyake vinne kama Lord Eyez, Ibra da Hustler, Bou Nako na G Nako katika wimbo “HARDCORE” ikiwa ni jitihada za kuwakumbusha mashabiki waliokuwa walio miss muziki wao. Ukimya uliotawala baada ya EP kuelea hewani pasipo MatamashaIbra anategemea kuachia solo projects zake soon