Harrison Mwakyembe amewaagiza wanaosimamia Uwanja wa Taifa

WAZIRI DKT MWAKYEMBE ATOA AGIZO KWA WANAOSIMAMIA UWANJA WA TAIFA

Waziri wa Habari Utamaduni na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewaagiza wanaosimamia Uwanja wa Taifa Kuhakikisha wanaitisha Zabuni ya Kimataifa Ili kuweza kumpata Mkandarasi atakayeweza kutoa Tiketi za Kielektroniki zitakazokuwa na number ya Siti za Kukaa kwa kila Mtazamaji wa Mpira.

story@moodyhamza