Hamorapa ni msanii mpya wa Bongofleva ambaye amejichukulia umaarufu wa mitandao ya kijamii baada ya matukio yake ya hapa na pale ambapo leo March 23 2017 video yake imesambaa kwenye mitandao akionekana kukimbia baada ya kuona Polisi katoa Bastola akimtisha Mbunge Nape Nnauye.
 Source: Millard ayo