Mtoto Aitham Maafudhu ambaye video yake ilisambaa miezi 6 iliyopita akitaja majina ya viongozi mbalimbali, leo March 23, 2017 Â katambua pia uteuzi wa Waziri mpya wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe na kuwataja baadhi ya viongozi wengine wa kimataifa.
Source: Millard ayo