Happiness Magesa aikumbuka siku ya maajabu.

Mwanamitindo wa kimataifa maarufu kutoka Tanzania anayeishi Marekani, Happiness Magese ‘Millen Magese’ Baada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu, furaha yake imeendelea kuongezeka ukubwa huku akizidi kuikumbuka siku yake ya mafanikio na maamuzi magumu yaliyozaa matunda ya kupata mtoto wake wa kwanza.

Kipindi cha furaha ya Millen Magese kupata mtoto wake

Millen Magese ambaye mwaka huu alifanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza wa kiume aitwae Prince Kairo ambaye imehesabika kuwa ametimiza mwize 13 tangu azaliwe na leo kupitia ukurasa wake wa InstagramMillen ameusherehekea mwaka wa kumbukumbu ya siku aliyofanyiwa hatua za kufanyika kwa utungaji wa mtoto wake huyo nje ya kizazi (IVF).

Source: Dizzim Online.