Diamond atoa somo kwa wasanii wenzake, usikubali kujiunga Vevo kama hawata kulipa kama wanavyolipwa wasanii wakubwa wa nje

Diamond Platnumz ameelezea sababu za kujiunga kwenye mtandao wa vevo, ambao amedai mwanzoni hakuona sababu ya kujiunga kama isingemmlipa zaidi ya Youtube channel yake ya kawaida.

Kupitia Instagram, staa huyo amedai kuwa alikubali kujiunga na Vevo baada ya kujiridhisha kuwa atakuwa akipata treatment ile ile wanayopata wasanii wa Marekani, ikiwemo Malipo na Promotion;

SOURCE BY: TEENTZ