Diamond Platnumz atoa ukweli.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa maelezo sahihi ya ukweli wa video ziliosambaa zaidi kupitia mitandao ya kijamii akiwa na staa wa kutoka Marekani Rick Ross.

Diamond Platnumz amesema kuwa kilichoonekana katika video zinazosambaa mtandaoni ni hatua za kufanyika kwa video ya wimbo wake aliomshirikisha rapa Rick Ross na sio vinginevyo.

Source: Dizzim Online.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!