‘Diamond alianza kwa kunilipa Elfu tano na sikuona kama ni tatizo’- Kifesi

Kifesi ni moja kati ya wapiga picha maarufu Tanzania na umaarufu wake ulipatikana baada ya kuwa official photographer  wa Diamond Platnumz. Amepiga story nyingi na Millardayo.com na AyoTV  kuanzia elimu yake, alivyokutana na Diamond, mafanikio aliyopata kutokana na kazi yake hiyo na mengine mengi.

 

SOURCE BY MILLARD AYO