Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ amesema hayo kupitia mtandao wa Instagram, wakati akiwashukuru mashabiki wake kwa kufanikisha video ya wimbo wake ‘Kidogo’ aliowashirikisha P Square kufikisha views milioni 10 kwenye mtandao wa Youtube tangu ilipotoka miezi minane iliyopita.Anawashukuru Mashabiki Wake wote one love…………..
Source: Millard ayo