Darassa – Hasara Roho ( Official Music Video )

Wimbo unaitwa #HasaraRoho na hapa chini unakutana na audio iliyosukwa na MaProducer watatu ambao ni Abba, Mr Ttouch pamoja na Mr VS na Video nono iliyoongozwa na  Director, Hanscana.

DARASSA #HASARAROHO VIDEO