Billinass tena kwenye Headlines.

Baada ya mastaa Nandy na Billinass kudaiwa kuwa mapenzini lakini wawili hao wakikanusha taarifa hizo wakisema ni urafiki wa kikazi.  leo August 17, 2017  kafunguka akisema amefanya colabo na Nandy.

Billinass ameweka wazi kuwa amefanya kazi na Nandy kwa sababu Producer alimtumia beat kisha kumwambia aifanyie kazi na ikiwezekana afanya na msanii wa kike ambaye angepatikana kwa wakati hivyo bahati ikaangukia kwa Nandy.

Upo wimbo tulishafanya wa pamoja na Nandy. Wasanii wangapi nimefanya nao nyimbo? Nimeshafanya na Dyana na Maua Sama. Idea ambayo Producer alituma beat alitaka kufanya kazi na mimi na alitaka nifanye na msanii wa kike ambaye angepatikana muda huo.” – Billinass.

Lulu Diva kasema; “Nandy, Vanessa wanafanya vizuri lakini siwahofii.

Source: Millard ayo