MEEK MILL AKINUKISHA KWENYE KIPINDI CHA FLEX`S HOT 97 KWA FREESTYLE AKIWACHANA DRAKE NA BEANIE SIGEL.

Rapper Meek Mill ameamua kuwasha moto kwa kupiga freestyle ya kuwachana Drake na Beanie Sigel kupitia kipindi cha Flex’s Hot 97.

Meek Mill ameamua kufanya unyama kwa kuwaonesha Beanie sigel pamoja na Drake jinsi gani anavyoweza kupiga Free Style, ndani ya Diss hiyo Meek Mill amepiga free style kwa kutumia beat ya “Where I’m From”

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com