WEMA SEPETU: “HATA MIMI BINAFSI SIHITAJI KUWA NA HUYO IDRIS WENU”.

Wema amkataa Idriss Mchana kweupeee pee!!!!!
Ashasema hataki kuwa nae sasa nyie endeleeni kupost ohh shem shem sijui kamuoa dada yenu au???? Watabaki kuwa marafiki kama zamani tuuuu…wema so wamchezo mchezooo…
unalakusema hapo mdau ???Habari ndo hiyooo… Tukutane katika uwanja wa comments. ..

Soma Alichoandika Mtandaoni:

Story by :@Joplus_
Source: Udaku Special Blog