50 cent ataja tarehe ya album yake mpya

50 Cent ametoa taarifa njema kwa mashabiki wake waliokuwa wakisubiri album mpya kwa muda mrefu.

“I have an album that I’ve been waiting to put out,” Alifunguka kwenye kipindi cha “Access Hollywood Live” interview. “It’ll be [out at] the end of the year. It won’t be as smart as the JAY-Z record. I wanted to make music that people have fun to. You can get it immediately, without having to sit and analyze.”

50 Cent hajaachia album mpya tangu alipoachia Animal Ambition mwaka 2014.

Source: Team tz