Harmonize kaongea ukweli kuhusu yeye na Wolper

Mwimbaji wa WCB Harmonize amehojiwa na kuongea ukweli kwa mara ya kwanza toka zimeanza kusambaa stori za kuachana kwake na Mrembo wa Bongo movie Jackline Wolper.

Kwenye LEO TENA ya CloudsFM Harmo amekiri yafuatayo >>> ”Siko kwenye mahusiano kwa sasa na ni kweli nimeachana na Wolper na kusema ukweli nilikuwa na mipango mingi na Wolper mpaka nyumbani nikampeleka” -Harmonize

Source: Millard ayo