VideoMPYA: Vanessa Mdee kashirikishwa na Mnigeria Reekado ‘move’

Mnigeria Reekado Banks ambaye yuko chini ya Label ya Don Jazzy anatambua uwepo wa Vanessa Mdee kwenye kiwanda cha muziki Afrika na ndio maana hakuchelewa kuomba kumshirikisha kwenye wimbo wake mpya wa ‘move

 Source: Millard ayo