Mwimbaji Kaligraph Jones Wakenya Afuata Nyayo za Ray kigosi kwa kujichubua kusingizia maji

Home Kenyan News MWIMBAJI Kaligraph Jones Wakenya Afuata Nyayo za Ray Kigosi Kwa Kujichubua na Kusingizia Maji
MWIMBAJI Kaligraph Jones Wakenya Afuata Nyayo za Ray Kigosi Kwa Kujichubua na Kusingizia Maji
Kenyan News
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri, anakunywa maji masafi kwa wingi, anadrive gari zuri ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia wenyewe

Kama unakumbuka Ray naye alidai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini ndio maana akawa mweupe

Sasa sijui kina Cheadle, Hounsou, Mario ballotel, Bacary Sagna wasemeje sasa? kwamba wao ni weusi dark kweli hawana hela na magari au?

Source: Udaku