Zedy Wady – Sio Sare

Zedy Wady anaibuka na “SIO SARE”, ngoma mahadhi ya HipHop dancehall ikiwa mkono wake EyyMeiza na mixing by @lickytouchez @noizmekah. Sikiliza official audio Youtube na pia Download Mp3 HAPA