Wizzo Culture x Ruff G – Umenitouch (Audio)

Toka Kaskazini pande za Arusha, Kutana na wakali wawili “Wizzo Culture” pamoja na “Ruff G” aka Chugamaican Styler katika kazi yao kwa jina “UmeniTouch” ikiwa ni kazi za mikono ya mtayarishaji @paulaffection ambaye pia ni mmiliki wa Affection Records.