Wizkid kuachia rasmi ngoma yake na Drake “Come Closer” Ijumaa hii

 


Hatimaye Wizkid anaachia rasmi ngoma yake “Come Closer” Rasmi Ijumaa Hii.

Kupitia mitandao yake ya kijamii, Wizkid ametangaza ujio wa ngoma hiyo rasmi pamoja na video yake Ijumaa hii, Pia kuna uwezekano akaachia mixtape mpya siku hiyo hiyo, mwanzoni mwa mwakaa huu, Wizkid aliahidi kuachia mixtape nne mpya ndani ya mwaka huu pekee.

Ngoma hiyo ambayo amemshirikisha Drake ilivuja miezi kidhaa iliyopita.

 Source: Teentz