Wimbo Wa Alikiba Wavunja Rekodi.

Staa Alikiba amekuwa miongoni mwa wasanii waliovunja rekodi ya kufikisha views Millioni Moja kwenye YouTube ndani muda mchache tu tangu kuachia video yake ya wimbo ‘Seduce me’.

Baada ya kuvunja rekodi hiyo Alikiba ametoa shukrani kwa mashabiki kupitia Instagram yake kwa kuandika Ahsanteni sana. Thank you for the love, I couldn’t be more blessed and favoured. You mean a lot to me and I do this for YOU. Nawapenda sana #RockstarTV #SHOOOOSH#SonyMusicAfrica #RockStar4000#KingKiba“

Source: Millard ayo