WILL Smith Ndani ya Filamu Mpya

Muigizaji kutoka Hollwood – Marekani, Will Smith anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya ya ‘Aladdin’ kama Genie.

Filamu hiyo inayotayarishwa chini ya kampuni ya Disney, huku ikitarajiwa kuwakutanisha watu kama Mena Massoud na Naomi Scott ambaye ataigiza kama Princess Jasmine.

Script za ‘Aladdin’ zimeandika na John August na muongozaji wa filamu hiyo ni Guy Richie, Filamu ya ‘Aladdin’ ni moja ya filamu kubwa zaidi tangu mwaka 1992, na imewahi kushinda tuzo ya Academy Awards.

Source: Udaku

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi