VideoMPYA: Wachekeshaji wameirudia ‘WAPO’ ya Nay wa Mitego

Wapo ni mdundo wa Nay wa Mitego ambao tunao tayari kwenye Radio na TV lakini sasa hivi pia tumeletewa remix ambayo ni ya kundi la Wachekeshaji likiongozwa na Mkali wenu, Bwana Mjeshi, Ebitoke na Mama Ashura….

Source: Millard Ayo