Lolo da Princess – Covid 19

Smart sounds presents Mwanadada Lolo Da Princess anakujia na Ngoma mpya kwa jina “Covid 19” akiimba kuhusu janga la kiduni ya maambukizi hatari ya ugonjwa wa virusi vya corona vinavyoshambulia mfumo wa hewa hususan kinywa na hatimae kudhoofisha na kuziba mapafu na kusababisha kifo haraka kwa mgonjwa. Ngoma ya @lolo_daprincesstz imetayarishwa na producer Tytah, Sikiliza Mp3 & Download kisha share na marafiki