Video Mpya Ya Young Dee inaitwa ‘bongo bahati mbaya’

Kutana na Young Dee, mkali mwingine kutokea bongoflevani na sasa katuletea nyingine video inaitwa ‘bongo bahati mbaya’ ambayo imefanywa hapahapa Tanzania na ‘Kwetu Studios‘

Source: Millard ayo