Michael Jackson anakumbukwa leo.

 

Wazazi, marafiki na ndugu wa familia ya Michael Joseph Jackson waliifurahia zaidi siku kama ya leo mwaka 1958 kwakuwa alikaribishwa Staa aliyekuwa na uwezo kubwa wa kucheza, muandishi na muimbaji wa muziki wa Pop Duniani Michael Joseph Jackson ‘Michael Jackson’ ambaye alipewa heshima kama Mfalme wa Pop Dunianai.

Staa huyu aliyeanza kuonekana jukwaani kama msanii wa muziki akiwa na umri wa miaka 5 alijizolea umaarufu zaidi na kuwa msanii mwenye mvuto na mashabiki wengi zaidi ambapo mnamo mwaka 2009 Michael alifariki Dunia huku ikhesabika kuwa kama angekuwa hai mpaka sasa aneguwa anatimiza umri wa miaka 58.

Michael Jackson ni muimbaji maarufu ambaye tarehe yake imeonekana kuingia katika historia siku ya jana kuwa siku moja kabla ya kuzaliwa kwake katika kumbukumbu ya mfanano yaani Birthday yake ni siku moja yenye tofauti ya masaa machachee ambayo Mmiliki na Mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook ‘Mark Zuckerberg’ na mkewe Priscilla Chan wamepata mtoto wao wapili wa kike aliyepewa jina la August Chan Zuckerberg.

Source: Dizzim Online.