Video mpya ya Harmonize na mpenzi wake

Kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia video ya mdundo wake mpya ambayo video queen ni mpenzi wake kutoka kiwanda cha Filamu nchini Jackline Wolper, usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na mkali huyu ataiona hapa.

a

Source;millard ayo