Tukiongelea Couple zenye ushawishi na idadi kubwa ya mashabiki hatuwezi tukaacha kuwataja Vanessa Mdee na African Boy Jux,
Licha ya wote kuwa kwenye Industry moja (Muziki) lakini wawili hawa hawakuwahi kufanya ngoma ya pamoja ukiachia mbali kolabo zilizowakutanisha kama Safari ya Nikki Wa Pili na Monifere ya Gosby..
Goodnews kutoka kwa Couple hiyo ni ujio wa Colabo yao iliyopewa jina “JUU” ambayo Producer Lupa amehusika.
Hii Hapa Chini ni post ya mwanadada VeeMoney akielezea ukali wa ngoma hiyo ambayo mpaka sasa imekua gumzo mitandaoni ikiwa hata haijaachiwa rasmi..
The summer is ours baby, most anticipated Collabo of the year 💜 #Juu Bomb Ass Artwork by @wilhelm.tz
A photo posted by VeeMoney (@vanessamdee) on
Story by:@Joplus_
Source: Perfect255.com