UJUMBE wa Diamond Kwenda Kwa Baby Mama Wake Zari Hassan leo


Kupata mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata Mwanamke atae kubali kuacha starehe zote za dunia na kukulelea watoto ipaswavyo sio kitu rahisi…. kazi yangu imejawa na vishawishi vigi sana, wakati mwingine napatia wakati mwingine nakukosea lakini siku zote umekuwa mwenye kunielekeza nikoseapo na sio kunihukumu…na ndiomaana siku zote chochote ukitakacho nikiwa nacho lazma nikupe pengine itanisaidia kukuelezea ni kias gani nakupenda na kukuthamini….

Source: Udaku