Matumizi Ya Condom Kumbe Ni Zuga Tu

Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba anatumia lakini mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ana mimba unabaki kujiuliza alikuwa anamvalisha kwenye kidole gumba ama?

Yaani unaweza ukakanunua vizuri tu. Unaenda nako mpaka gesti vizuri tu. Unakatoa mfukoni unakaweka chini ya mto pale kitandani kujiandaa na mechi vizuri tu lakini mwisho wa siku unajikuta umechakaza rim.

Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko njia panda ya ifakara. Mbalii balaa!

Halafu inavyoonekana wanawake wengi hawapendi condom ila huwa wanauliza kuzuga tu ili na yeye aonekane aliuliza swali “baby una condom?”

Ukimwambia sina utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya anakupa solution,”basi nakuomba usinyunyizie ddt,umwagilie maua nje ya bustani plz niko danger”.

Uwe Danger umekuwa transfoma ya umeme! Ukimaliza utamsikia,”halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile”mshachakaza rim.

Shikamooni wazee wa kwenda na pakti 3 na unarudi nazo zote 3 zikiwa pakti mpya. Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu mna mimba miezi 2 leo. Shikamooni na wale ambao mna sababu za kisayansi kwelikweli
“baby mi nikitumia condom napata allergy na fungus.

Uonavyo wewe, Je wasichana waki Tanzania, wanamsimamo linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kutumia kinga? Vipi kwa wanaume nao, msimamo wanao!? Nini maoni yako!?

Source: Udaku