Ni video mpya ya msanii TID iitwayo Confidence ambayo amemshirikisha rapper Joh Makini, video imeongozwa na director Travel wa kwetu Studios.ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Story By:@Joplus_
Source: Millard Ayo.
comments