Rich Mavoko – Kaweka (Video)

Rich Mavoko anakujia na “KAWEKA” video mara baada ya kazi yake ya awali kwa jina “USIZUGE” kufanya vizuri kiasi sokoni kwa views zaidi ya laki tano, Tazama video hii ya Kaweka ambayo imeongozwa na Director Lucca Swahili, Enjoy