Tetemeko Lilivyoua Wanafamilia Kanisani.

Wanafamilia 11 wameripotiwa kufariki wakiwa kwenye ibada ya ubatizo wa mtoto baada ya paa la kanisa walilokuwepo kuwaangukia kutokana na tetemeko kubwa lililokumba Mexico juzi September 20, 2017.

Waliopona kwenye janga hilo ni baba wa mtoto aliyekua anabatizwa ambaye alikua ni wa miezi miwili pamoja na wachungaji wawili ambao walikua wakiongoza tukio hilo.

Source: Millard ayo

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!