Raqey awachana wapiga picha wa Bongo.

Mpiga picha maarufu nchini, Raqey Allaraqya, amewashauri wapiga picha wa Tanzania wanaotaka kujipatia umaarufu wa haraka kwa kuwapiga wasichana picha za utupu. Amewashauri kuwa wabunifu zaidi kwa kuhusisha wataalam wa masuala mengine kama wabunifu wa mitindo, waongozaji wa sanaa na kutumia mbinu zaidi za upigaji picha. Raqey ameandika kwenye Instagram:

This goes to all new photographers out there.. instead of just wasting your time to NUDES think a little bit far with ur mind and dedicate time for pre productions with lots of brainstorming try add stylists, art directors if u can, think light, think shadow, think rim-light, think posture and lastly post production i know this is your favorite part for most of u. Instead do not think with your #%¥£ when conceptualizing. I dont want to touch the culture ethics im very much into creativity. Believe it or not when you take an amazing photo you will know it when you press the release shutter button.
One secret to my success is Criticism. Fyi: this is not my photo thought of sharing my time and talk to u all.

Miaka ya hivi karibuni kumeibuka wapiga picha wengi nchini. Raqey ni mmoja wa wapiga picha wakongwe na wanaoheshimika zaidi. Amehusika kutengeneza matangazo mengi pamoja na cover nyingi za bongo movies.

Source: Dizzim Online.