Patoranking Anatarajia Kupata Mtoto.

Hitmaker wa No Kissing, Patoranking anatarajia kupata mtoto wake wa pili. Huyo atakuwa mtoto wake wa kwanza na girlfriend wake wa sasa.

Staa huyo wa Nigeria ambaye jina lake halisi ni Patrick Nnaemeka Okorie ameweka picha Twitter na Instagram akiwa na mpenzi wake mjamzito.

Ameandika, “Daddy Yo ❤ Thank God”. Muimbaji huyo wa reggae na dancehall ana mtoto wa kume aitwaye Rapharanking Okorie aliyezaa na mwanamke asiyejulikana.

Source: Dizzim online

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors