Nini Tena Kimemsibu Mwanamuziki Hamorapa?


Nini Tena Kimemsibu Mwanamuziki Hamorapa?….Nimezimiss Kiki zake
Wakuu kwema?
Hivi huyu mmakonde aliyepata kiki kwa ishu za ajabu ajabu kama vile kukimbia bastola iliyonyoshwa kwa mh Nape na mengine mengi mbona kimya.
Amepotelea wap wakuu.
Anayejua ukimya wake atupe ubuyu kiaina basi.

Source: Udaku.