Msanii mpya wa WCB ndio huyu katuletea video yake

Kwenye list ya video mpya zilizonifikia May 25, 2017 ni pamoja na hii ya Mwimbaji mpya kutoka kwenye label ya Diamond Platnumz WCB, jina lake la kuzaliwa ni Abdul lakini kwenye sanaa anatumia Lavalava na wimbo wenyewe unaitwa ‘Tuachane’.

Source: Millard ayo