Baada ya mwimbaji wa Nyimbo za Injili Goodluck Gozbert kufanya vizuri na ngoma yake “Ipo Siku” tuliona mapokeo ya ngoma hiyo jinsi yalivyokua makubwa kiasi cha kumfanya Goodluck kujulikana zaidi…
Sasa Hii Hapa Ni Cover ya Ngoma hiyo ambayo msanii mwingine mpya wa Bongoflava MARIOO
ameifanya katika mfumo wa Reggae…
story By:@Joplus_
Source: Perfect255.com