Mama Daimond Aamua Kumfuta Machozi Zari.


Baada ya Zari kuonekana kutokuwa na furaha baada ya kusalitiwa na baba watoto wake Diamond Platnumz kwa kuzaa na mrembo Hamisa Mobetto, Mama mkwe wake Sandrah Michael ameamua kumpooza machungu japo kidogo.

Sandrah ambaye ni mama mzazi wa Diamond, amemtumia ujumbe Zari kupitia mtandao wa Instagram.

Source: Udaku.