Ukitoa drama zote zinazoendelea kati ya Diamond na Hamisa Mobetto, Zari The Bosslady ametease mradi mpya ambao bado haujulikani hasa unahusiana na nini zaidi ya kuweka tu hashtag, #Anameremeta.
Kwenye moja ya picha alizoweka Instagram Ijumaa hii, Zari ameandika: @laviemakeup…. Was great working with you, awaiting this project.
Kwenye post nyingine amemshukuru pia mama yake Diamond kwa kuandika: Allow me to thank the people who pulled through to make this project a success regarding my wardrobe @aminadesigns thank you for putting up with my demanding self, @luluzhair can’t even express myself because u made sure I had a variety to choose from and some needed up in my luggage.. oopsy @laviemakeup garrrl you are bae thank u for the face beating effortlessly as you put it @mama_dangote for the headscurf
Naye Bi. Sandra amepost picha ya Zari na kuandika: IJUMAA KAREEM MAMA TEE MTANDIO KUTOKA KWA MTU MBAYAAAAAA KUBWA LA MAADUI..BIBI TEE ..SANDRAH SAMMY #ANAMEREMETA @2colections_dubai @2colections_dubai.
Source: Dizzim Online.