Mabibi na Mabwana Young killer ametuletea Remix ya Sinaga Swagger

Mwimbaji wa bongo fleva Young Killer msodoki ametusogezea video mpya ya wimbo wake wa Sinaga Swagger remix imefanywa na director mtanzania Nicklass.

Source: Millard ayo