Maarifa Ft Dogo Janja – Acha Iwe (Video)

Msanii chipukizi “Maarifa” anakwambia “ACHA IWE” ambapo amemshirikisha “JANJARO” akiwa anaiwakilisha MMB katika upande wa HipHop na hapa chini Tazama official Video ya Kazi yake