Nay Lukumay – Amefanya Njia (Video)

Msanii wa Muziki wa injili “Nay Lukumay” anakukaribisha kuitazama Video Yake kwa jina “AMEFANYA NJIA” ikiwa imeongozwa na director “REVO” na audio by producer “@Lickytouchez” toka noizmekah Studios. Enjoy

PAKUA AUDIO HAPA