LADY GAGA ABADILI MWONEKANO WAKE WA MAVAZI NA KUJA NA STYLE YA KUACHA SEHEMU KUBWA YA MWILI WAKE WAZI.


I mean who wouldn’t..but tushazoea kumuona Lady Gaga akiwa ndani ya nguo za ajabu ajabu tu. .Ila ever now and then Lady Gaga rocks normal clothes with simple makeup na she looks good..
So it seems kwamba crop top na short shorts Ni among her favorite outfits plus boots.. and it’s perfect for her maana she gets to show off her toned legs, abs kidogo. This one is super cute. .Black crop top na matching tight shorts..With a black blazer and black platform boots.

Story By:@Joplus_
Source: Raha za Walimwengu.