JE,UNAFAHAMU KWAMBA MAJI YALIYOKATIWA MATUNDA HUBORESHA NGOZI NA KUPUNGUZA UNENE?

Fruit infused water/ maji yaliyokatiwa matunda, ni bora kunywa haya maji instead of soda. Fruit infused water ina benefits nyingi sana kama vile kupunguza tumbo, kupunguza mafuta mwilini, kufanya ngozi iwe nzuri na kuisafisha. Kuna recipes nyingi sana za fruit infused water ambazo zinaleta matokeo tofauti.

Ukishaweka maji na tunda/matunda unayoyataka weka kwenye fridge kwa masaa 8 ndio uanze kunywa.
Kupunguza uzito, changanya limao/ndimu pamoja na tango. Katakata slice kama hizo kisha weka kwenye maji.

strawberry, ndimu/limao & tango

Kusafisha mwili tumia machungwa, apples, watermelon/tikiti maji, zabibu

Kwa ufupi unaweza kutengeneza infused water for better health au beauty kwa kutumia matunda yoyote. Tafuta ladha unayoipenda kwa kujaribu kumix matunda tofauti tofauti.
Unaweza ukanywa muda wowote ule as long as unaacha ikae kwanza masaa 8 baada ya kutengeneza.

Jaribu kutafuta jar au chupa special kwa kutunzia hii..zinakuwaga na mirija yake kama unatumia peke yako lakini kama unatumia na familia nzima tengeneza tu kwenye jug kubwa na uitunze kwenye fridge.

Other recipes za fruit infused water ni kama::
pineapple/nanasi,chungwa/orange & ginger/tangawizi

strawberry, mint & lemon.

Story By:@Joplus_
Source: Muungwana Blog