JCB Ft Chaka – Machochoro Zote (Video)

Ukimzungumzia JCB utakubali Hip-Hop is still alive kwa namna ambavyo amewakilisha Watengwa katika game la kuGhani kwa miaka zaidi ya Kumi. Hapa anakujia na HipHop Video ya “Machochoro Zote” aliyomshirikisha Chakalito ikiwa produced by #BlackBeats na directed by @FreemanRichard