Harmonize ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri kwenye game ya bongofleva na ndani ya kipindi kifupi alichoweza kuwepo kwenye game ameweza kujinyakulia mashabiki ndani na nje ya Bongo. Leo April 18 Harmonize ametumia ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika
‘Sometimes its good to be protected’akiwa anamaanisha kuwa wakati mwingine ni vizuri kujilinda maneno ambayo aliambatanisha na picha ya bastola.
Source: Millard ayo