Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais Magufuli atoe msaada huo Neema Mwita amemshukuru Rais Magufuli kwa msaada wake Mkubwa aliompatia na kufanikisha matibabu yake na anasema sasa anaendelea vizuri.
Source: Millard ayo
[variable_1] has subscribed muzikizaidi [amount] minutes ago.