Eddy zedon feat Mr blue byser – Bonge la Demu

Northside presents kazi Mpya toka kwa Eddy zedon akimshirikisha Mr blue byser ngoma inakwenda kwa jina “Bonge la Demu” ikiwa ni mkono wa Braxy pamoja na MuchMore studio za waiznation na K records